OSW 228. TAMTHYILIYA YA KISWAHILI.
Tamthilia (pia: Tamthiliya au Tamthilia-Mchezo)
ni moja kati ya sehemu ya utunzi wa hadithi au fasihi simulizi (ngano au
hadithi) ambayo mara nyingi tunaona kupitia katika makumbi au televisheni, kusikia kupitia katika redio.
Tamthilia au mchezo mara nyingi huwa mazunguzo baina ya watu, na kwa kawaida huwa mchezo hatuutizami katika TV tu, bali hata kuna watu wengine hufuatilia kwa kupitia maandiko yenye tamthiliya hizo na kuzielewa vyema.
Watu tunaowaona wanafanya tamthilia ni waigizaji; katika ukumbi wa maonyesho husimama juu ya jukwaa na kuanza kutoa burudani huku watu wakiwaangalia (watazamaji) wanaweza wakawaona vyema kabisa.
Mwongozaji ana wasaidia waigizaji waigizaji kufanya kazi zao vyema, au anawaeleza namna ya mchezo jinsi vile unavyotakiwa kuchezwa.
Kuna aina nyingi ya michezo au tamthiliya, lakini kuna michezo sita ambayo inaonekana kuwa muhimu kupita yote:

- Trejidia - huu ni mchezo wa uzunu tu, kwa sababu ya mikosi na nuksi, kwa sababu ya mbabe hayuko ngangali, au kwa sababu za kimira au imani fulani.
- Komedia - huu unaishia na vicgekesho tu. Vitu vilivyo katika mchezo huu ni vya kuchekesha; una vunja mbavu.
- Domestiki drama au Igizo la kawaida - huu ni mchezo wa maisha ya kawaida, familia na marafiki.
- Trejikomedia - huu ni mchezo wa vitu vyote vichekesho na uzuni alkadhalika.
- Melodrama - huu mara nyingi unaisia na furaha. Ndani yake kunakuwa na maadui - watu wabaya - lakini mbabe hushinda. Msisiko wake una kuwa mkali sana.
- Simboliki - huu una husu fikra za uigizaji au mchezo. Watu wachezao katika mchezo wala sio muhimu.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tamthilia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
No comments:
Post a Comment