LAHAJA ZA KISWAHILI
LAHAJA NI NINI ?
Huu ni uzungumzaji unaotumiwa na kikundi fulani cha watu katika
eneo maalum .uzuzungumzaji huu hutofautiana na vikundi kama hivyo
vinavyoishi kwenye sehemu nyingine.Tofauti hii inawekuwa ya kimofolojia
,msamiati au kifonolojia
LAHAJA HUZUKA VIPI ?
Huzuka kutokana na vizuizi vinavyo tokana kati ya makundi
yanayozungumza lugha moja .Chambers &trudgill (1980) alisema kuwa
vizuizi hivi vinaweza kuwa vya kijamii au vya kijografia
Vya kijografia ni kama vile milima mito nk .vya kijamii ni kama
vile ni umbali kutoka jamii moja hadi nyingine hii inaweza kuathiri
lugha yao ,ikiwa hakuna uhusiano wa kimawasiliano kati ya makundi
hayo .
wanaelimu lahaja wanasema kuwa lugha inaweza kubadilika wakati
ambapo inapokelezwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine.baada ya muda
mrefu kutakuweko na mabadiliko katika sauti ,hapo basi msamiati mpya
hutokea.kuna lahaja kuu za kiswahili kv.
(1)lahaja za kijamii
(2)lahaja za kijografia
Lahaja za kiswahili ni lahaja zakijiografia
mfano wa lahaja za kijamii ni lugha mpya kabisa ya sheng
LAHAJA ZA KISWAHILI HUZUMZIWA WAPII
(1)pwani
(2)Visiwani
(3)Bara
UANISHAJI WA LAHAJA ZA KISWAHILI
Lahaja za kiswahili zinapatikana pwani ya afrika mashariki, visiwa vya mafia lamu na ugunja.
LAHAJA ZA PWANI
lahaja za kaskazini ni kv
kitikuu/kibajuni huzungumziwa sehemu ya kismayu nchini somalia
chimbalazi huzungumziwa nchini somalia katikati ya somalia na mogadishu
No comments:
Post a Comment